Distinction Kipeo cha Kiswahili KPSEA Gredi ya 6
KSh 850.00
Available in stock
Distinction Kipeo cha Kiswahili KPSEA Gredi ya 6 ni kitabu cha kipekee cha kumwandaa mwanafunzi vilivyo kwa minajili ya tathmini endelevu na tathmini tamati ya mtihani wa Kitaifa (KPSEA). Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ustadi tosha kumfaa mtahiniwa na na mwalimu. Kimeandikwa kuambatana na mtaala mpya wa Umilisi na kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala huo.


Reviews
There are no reviews yet.