-
Distinction Kipeo cha Kiswahili KPSEA Gredi ya 6 ni kitabu cha kipekee cha kumwandaa mwanafunzi vilivyo kwa minajili ya tathmini endelevu na tathmini tamati ya mtihani wa Kitaifa (KPSEA). Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ustadi tosha kumfaa mtahiniwa na na mwalimu. Kimeandikwa kuambatana na mtaala mpya wa Umilisi na kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala huo.
Distinction Kipeo cha Kiswahili KPSEA Gredi ya 6
KSh 850.00KSh 850.00 Add to Order -
Covers All Strands in Grade 7, 8 and 9. Organised by strand and sub strand in full alignment with the CBC and KICD-approved curriculum design.
Distinction Spiral Fasihi
KSh 650.00KSh 650.00 Add to Order -
Covers All Strands in Grade 7, 8 and 9. Organised by strand and sub strand in full alignment with the CBC and KICD-approved curriculum design.
Distinction Spiral Mwongozo wa Insha
KSh 750.00KSh 750.00 Add to Order -
Covers All Strands in Grade 7, 8 and 9. Organised by strand and sub strand in full alignment with the CBC and KICD-approved curriculum design.
Distinction Spiral Revision Combined Kiswahili
KSh 1,150.00KSh 1,150.00 Add to Order -
Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Kwanza Msururu wa Distinction Kiswahili ni vitabu vilivyoandaliwa kwa sababu ya somo la Kiswahili. Vitabu hivi vimeandaliwa kulingana na mtalaa wa umilisi. Moja ya vitabu katika msururu huo ni Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Kwanza. Hiki ni kitabu kilichotungwa kwa lugha nyepesi na rahisi kwa uelewa wa mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza. Pia, mpangilio wa sura, mada ndogondogo na shughuli katika kitabu hiki umerahisisha utumiaji wa kitabu chenyewe.
Grade 1 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 630.00KSh 630.00 Add to Order -
Distinction, Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya 10 ni mwongozo mahususi uliotayarishwa kuwasaidia wanafunzi wa Gredi ya Kumi kukuza umahiri katika kusikiliza na kuzungumza, kusoma, kuandika na matumizi ya lugha kwa njia bunifu na shirikishi.
Grade 10 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
-
Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Pili Msururu wa Distinction Kiswahili ni vitabu vilivyoandaliwa kwa sababu ya somo la Kiswahili. Vitabu hivi vimeandaliwa kulingana na mtalaa wa umilisi. Moja ya vitabu katika msururu huo ni Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Pili. Hiki ni kitabu kilichotungwa kwa lugha nyepesi na rahisi kwa uelewa wa mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza. Pia, mpangilio wa sura, mada ndogondogo na shughuli katika kitabu hiki umerahisisha utumiaji wa kitabu chenyewe.
Grade 2 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 660.00KSh 660.00 Add to Order -
Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Tatu Msururu wa Distinction Kiswahili ni vitabu vilivyoandaliwa kwa sababu ya somo la Kiswahili. Vitabu hivi vimeandaliwa kulingana na mtalaa wa umilisi. Moja ya vitabu katika msururu huo ni Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Tatu. Hiki ni kitabu kilichotungwa kwa lugha nyepesi na rahisi kwa uelewa wa mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza. Pia, mpangilio wa sura, mada ndogondogo na shughuli katika kitabu hiki umerahisisha utumiaji wa kitabu chenyewe.
Grade 3 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 660.00KSh 660.00 Add to Order -
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 4 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa kwa kutumia lugha kuzungumza na kuandika.
Grade 4 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 720.00KSh 720.00 Add to Order -
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 5 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha nne: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Saru. Katika kiwango hiki ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha hizi ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.
Grade 5 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 600.00KSh 600.00 Add to Order -
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 6 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi na mwalimu. Kimezingatia stadi za lugha nne: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Saru. Katika kiwango hiki ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi za lugha hizi ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.
Grade 6 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 750.00KSh 750.00 Add to Order -
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 7 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika Gredi ya Saba ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa kwa kutumia lugha kuzungumza na kuandika.
Grade 7 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 750.00KSh 750.00 Add to Order -
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 8 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika Gredi ya Saba ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa kwa kutumia lugha kuzungumza na kuandika.
Grade 8 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 800.00KSh 800.00 Add to Order -
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 9 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi. Kimezingatia stadi za lugha nne: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi. Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi hizi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.
Grade 9 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 850.00KSh 850.00 Add to Order













