Grade 9 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 850.00
Available in stock
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 9 kimeandikwa kumsaidia mwanafunzi. Kimezingatia stadi za lugha nne: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi. Katika kiwango hiki, ni muhimu mwanafunzi kujenga na kukuza stadi hizi za lugha ili kujiamini na kukomaa katika Kiswahili.

Reviews
There are no reviews yet.