Grade 4 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 720.00
Available in stock
Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 4 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa kwa kutumia lugha kuzungumza na kuandika.

Reviews
There are no reviews yet.