Grade 2 Kipeo Cha Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi
KSh 660.00
Available in stock
Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Pili Msururu wa Distinction Kiswahili ni vitabu vilivyoandaliwa kwa sababu ya somo la Kiswahili. Vitabu hivi vimeandaliwa kulingana na mtalaa wa umilisi. Moja ya vitabu katika msururu huo ni Distinction Kipeo cha Kiswahili, Gredi ya Pili. Hiki ni kitabu kilichotungwa kwa lugha nyepesi na rahisi kwa uelewa wa mwanafunzi wa Gredi ya Kwanza. Pia, mpangilio wa sura, mada ndogondogo na shughuli katika kitabu hiki umerahisisha utumiaji wa kitabu chenyewe.

Reviews
There are no reviews yet.